dcsimg
Image of African couchgrass
Creatures » » Plants » » Dicotyledons » » True Grasses »

African Couchgrass

Digitaria abyssinica (Hochst. ex A. Rich.) Stapf

Sangari ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Sangari (Digitaria abyssinica) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae iliyo na mnasaba na mfonio (D. Exilis na D. Iburua). Inafanana pia na lugowi (Cynodon sp.) lakini masuke yake ni membamba zaidi. Asili ya spishi hii ni Afrika ya Mashariki na ya Kati lakini imewasilishwa katika Afrika ya Kusini, Afrika ya Magharibi na Asia. Nyasi hili ni gugu baya katika mashamba.

Viungo vya nje

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Sangari: Brief Summary ( Swahili )