Mstroberi (Fragaria x ananassa) ni mmea mdogo wa familia Rosaceae unaotoa matunda mekundu (stroberi). Maua ni meupe. Mmea huu ni mvyauso kati ya Fragaria chiloensis na F. virginiana na kwa hivyo unatoa matunda makubwa zaidi.
Mistroberi hukuzwa sana katika kanda za tabianchi wastani na za nusutropiki na pia katika ukanda wa tropiki wakati wa majira ya baridi au milimani. Stroberi hupendwa sana kwa ajili ya ladha yao maalum tamu.