dcsimg

Paka-pori ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages
 src=
Usambazaji wa paka-pori

Paka-pori (Felis silvestris) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ana usambazaji mkubwa sana na anatokea Ulaya, Afrika na Asia. Spishi hii ina nususpishi tano[1]. Nususpishi paka-kaya imefugwa kutoka paka-jangwa[2].

Nususpishi

Picha

Marejeo

  1. Driscoll, C., Nowell, K. (2010). "Felis silvestris". IUCN Red List of Threatened Species. Version 2011.2.. International Union for Conservation of Nature.
  2. Driscoll, C. A., Menotti-Raymond, M., Roca, A. L. Hupe, K., Johnson, W. E., Geffen, E., Harley, E. H., Delibes, M., Pontier, D., Kitchener, A. C., Yamaguchi, N., O’Brien, S. J., Macdonald, D. W. (2007). "The Near Eastern Origin of Cat Domestication". Science 317 (5837): 519–523. doi:10.1126/science.1139518. PMID 17600185

Viungo vya nje

Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paka-pori kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Paka-pori: Brief Summary ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages
 src= Usambazaji wa paka-pori

Paka-pori (Felis silvestris) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ana usambazaji mkubwa sana na anatokea Ulaya, Afrika na Asia. Spishi hii ina nususpishi tano. Nususpishi paka-kaya imefugwa kutoka paka-jangwa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri